🔑Ukiwa unatumia pc alafu, labd folder au software ika stack au ikasema not responding
🔑Huwa inashindikana ku cancel, na pc inabaki ina load na hauwez fanya chochote
🔑Sasa ikitokea kitu kama hicho fanya hivi vifuatavyo hapo chini, na kama windows explorer ime stack utafata njia ya mwisho
🔑Ila unawez itumia kwa zote, kwa ufasaha zaidi
🔑Njia ya kwanza, kama ni file limestack,
Unata Right Click kwenye Task Bar*(kile kibox kirefu kilichok chin kweny screen san san)* alaf click Task Manager
🔑Au bonyez Windows +X alaf Click task manager
🔑Baada ya hapo uta click more details kwa windows 10 kwenda juu, alaf click Process
🔑Kwa windows 8 Kushuka chini, uta click Processes direct
🔑Baada ya hapo utaangalia program ambayo imeandikwa .*Not Responding* au utaangalia jina la program iliyo stack uta right click alaf *End Task*
🔑Unakuw umemaliza kazi✨
🔑Kama program imeshikilia screen nzima na hamna sehem ya ku click, labda ni game limestack au veep, fanya hivi
🔑Bonyeza Kweny Keyboard Control(Ctrl)+Alt(Alternative)+Del(Delete)
*Ctrl+Alt+Del*
🔑Hapo itakuja blue screen, uta click Task Manager, ikifunguka utafata hizo steps apo juu tena🤗
🦠KwishaðŸ¦