JSON Variables

WINDOWS DISPLAY ADAPTER UPDATE




💫Kwanza kabisa hilo sio tatizo ila ni settings za computer mpya ya zamani ambazo zinatumia legacy boot mode, computer hzo zinakuwa na motherboard ya zamani ambay inakuwa haina driver za graphics za automatic ambazo sio za gaming bali ni za display

💫Microsoft Display Adapter ni Driver ya zaman ya kwanza ya display ambayo ina resolution ya 1280x 780, ambayo hiyo ndoo kubwa kulingana na model ya computer yako, kwahyo hii driver san san inakuwa haina dedicated graphics yoyote

Preview ya Driver Manager kwenye Computer ikionesha Display Adapter Baada ya kuwa installed kwa kutumia Third Part softwares 

Kwahyo inakuwa haiwez kucheza game lolote au kufungua software yoyote ambayo ina tegema graphics kufunguka 
  Intel UHD Graphics 620 baada ya kuwa installed
   

💯JOIN GROUP LA WASAP NA TELEGRAM KWA UPDATES ZAIDI NA MASOMO KAMA HAYA 💯

Join Whatapp Group

Join Telegram Group 

💣Computer za zamani zilitoka na LEGACY BOOT MODE ambayo inamuhitaj mtumiaji kuinstall drivers zote upya baada ya kufanya installation ya operation system yoyote, nikimaaanisha kwamba Legacy mode hairuhusu operating system ku install drivers za graphics ambazo imetoka nazo, ndo maan unakuta ume install windows then inakuwa inaonesh kam ukungu na maandisha makubwa

🤔Ukitaka kujua windows haina drivers unaangalia hivi vitu hapa

👇Windows 07 

Itakuwa inaonesha rangi ya blue iliyopauka kweny explore angles, ukifungua START hauon ile transaparency ya windows 🪟 alafu pia vitu vinakiwa vikubwa vikubwa na havipunguziki 

👇Windows 08 

Kweny task bar patakuwa na rangi iliyokolea san ambayo haikuruhusu uone upande wa pili (transaparency) na pia files na explore zitakuwa kuwa na resolution itakuwa haipungui  

🤔Na hapo ni sawa na Windows 10 na 11


Kwahiyo turudi kwenye somo 

Kuna aina mbili za Boot Mode ambazo ni 

                  😱LEGACY BOOT MODE

                  🪄UEFI BOOT MODE

MUONEKANO WA BIOS KWENYE COMPUTER 

👊kama nlivyoeleza hapo juu kuhusu LEGACY na kuhusu UEFI hii ni kwa model mpya za computer na ziko faster san kweny kil kitu 

N pia ni ngumu kugundua kam computer haina updated graphics driver 


NITAANDIKA SOMO KUHUSU BOOT MODE NA MATATIZO YAKE NA NJIA ZA KUSOLVE (GPT,MBR)

🦷Ukitaka kubadilisha computer yako kutoka kwenye microsoft display adpter kwenda kwenye graphics card iliyo nayo kuna njia mbili 

1. WINDOWS UPDATE 

💦Hii ni njia sahihi kabisa ya kubadilisha graphics driver yako ila ni njia ambayo ipo slow san na haitabiriki, kam tunavyojua windows updates zinachkua nda kuinstall na hazifai kuchagua driver ambazo unatak na ambazo hautaki  

  💦Huwa zinajidownload zote kwa wakati mmoja na pia windows updates haiwez kukupa latest updates za driver zote, kwahyo nashauri sana utumia njia ya pili

2. THIRD PART SOFTWARE 

💦Kuna software nyingi za ku update driver na ni customizable, nikisem customizable namaanisha una uhuru wa kuchagua driver unazozitaka na ambazo hauzitaki kwa wakati huo

 🙏🙏Shida ya Hizi software zinahitaji malipo ila mimi kama teacher nitaachhia link hapo chin ya kwenda kuzipata hzo software full version for free 🔥 

🥳 Software hizo ni kama vile.🥳

💣Driver Pack Solutions 24GB.....

💣Driver Booster Pro 36Mb.....

💣Driver easy Pro 24Mb.....

😋Software hizo unaweza ukachagua kutokan na matumizi yako ya kila siku

LINK 📌📌📌📌📌

  DRIVER EASY INTERNAL VIEW

               

                                  CLICK HERE TO DOWNLOAD


  DRIVER BOOSTER INTERNAL VIEW

               

                    CLICK HERE TO DOWNLOAD

 

                ZWISKY TECH PRESENTS 

            USISAHAU KUACHA COMMENTS


2 Comments

Previous Post Next Post

Categorised Posts