JSON Variables

CREATE WHATSAPP BOT FOR FREE

Vitu vy muhim vinavyohitajika ukiwa unataka kutengenza wasap chat bot
....Simu mbil...au cm na pc.
....account ya github 
....account ya replit 
....mb kama 100 hv
.....google account 
....chatgpt account

STEP YA KWANZA
...ingia google alafu search 
Queen elisa whatsapp chatbot 
Baada hapo click ile ya kwanza ya Dark 📌📌..Itakupeleka direct github kwenye repository y huyo jamaaa

TUMIA VPN YA BIT DEFENDER KUFUNGULIA REPLIT KWA KUTUMIA SERVER YA USA, ATLANTA

STEP YA PILI 
...utashusha chin kidogo kuna mahali pameandikwa fork this repo....uta click hapo then uta fork hyo repository uko github...
NOTE..lazima uwe na account github

 STEP YA TATU
...click sehem ya scan qr code ambayo ipo chin ya fork repo then itakupelek replit 
NOTE.kama replit haifunguk ..tumia VPN ya bit defender

STEP YA NNE
...utaona kitu kama video ya queen elisa..uta click hapo alafu utasubr mpak zitokee qr code ya ku scan 

📌📌NOTE.tumia whatsapp ingine kuscan code hiyo ..nikimaanisha simu nyingine ..au kama unatumia pc kufungua website hizo itakuwa vzuri zaidi

STEP YA TANO 
...fungua whatspp then click vidot vitatu vya upande wa juu kulia ..
Baada ya hapo click ...linked devices...then link device ..
Alafu scan QR code ile..

Utapat ujume wa whatsapp ambao utakuw umetumia file ambalo extension yake ni .json ...

 Download hilo file

STEP YA SITA 
...rudi github fungua account yako then kwa juu kuna sehem imeandikwa repository ...
Utaclick hapo then utaclick QUEEN ELISA MD 
baada ya hapo uta click kuna file limeandikwa ...Sessions...utalifungua then ndani yake uta UPLOAD lile file ulilotumia whatsapp📌📌

 UPLOADING PROCESS
...kule github ile sehem ambay utatakiwa ku upload hilo file ..kwa juu kulia kuna sehem imeandikwa ...add file...utaclick hapo then uta click UPLOAD .....
Baada ya hapo itakueletea sehem ya kudrag and drop file..kwhy kama unatumia PC itakuwa rahisi zaid. Na kama unatumia cm..utafanya kam file unatak kutuma APK whatsapp...
Na utalipata kwenye..
Whatsapp 
Media
Whatsapp documents 
Sent 📌📌

 STEP YA SABA 
...rudi github kweny repository yako fungua ile QUEEN ELISA MD alafu click file linaitwa ...SETTINGS.JS ...hapo utaziona CODE za queen elisa ..
Kwahy hapo nd uta edit sasa ..wewe unataka aitwe nani, ajibu vep, vitu gan afanye, vitu gani asifanye, owner awe nani, namba za owner na mamb meng meng

NOTE.na ukitaka kumconnnect na CHAT GPT MODULE unatakiwa uende sehem inaitwa CHATGPT API KEY 🔑..search kitu kam hicho google then utapata...
Pale uta create account then utapata hzo key..

N.B hzo utakapo kwenda kuziweka usiweke lile neno ...sk-....

Ukimaliza ku edit ..Commit Changes..kwa pale juu upande wa kulia

STEP YA NANE 
..fungua replit homepage alafu 
Rudi github then pale kweny search bar ya google utacopy ile link pale kuanzia neno GITHUB.COM/USERNAME/QUEEN_ELISA_MD...

STEP YA TISA 
..replit ikishafunguka wakati huo tayari umekwisha ku create account yako..
Click mahala pameandikwa ..creat repl..
Ziko sehem mbil ila zote ni sawa..

Baada ya hapo itakuletea sehem ya kujaza link...upande wa kulia juu kidogo kuna sehem imeandikwa ...IMPORT FROM GITHUB ...
utaclick hapo alafu kile ulicho kicopy kweny step ya NANE uta paste hapo..

Note ..hakikisha inaanza na github.

Baada ya hapo uta click import ❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥..hapo itaload kam 5 minutes kutegemeana na mtandao wako

STEP YA KUMI
..itafunguka ..na utaona code code nyingi pale ...muda huo unaweza jihisi wewe ni hacker🤣🤣🤣...
Sasa hapo kuna njia mbili ya kustart engine,
1.kuna simple way ambay haina mambo mengi ambapo kuna button ya kijana pale katikati juu...imeandikwa ..RUN..unaweza uka click pale then utasubr step ya kumi na moja
2.Njia ya pili hii ni ya ki hacker zaidi...kwanza ukiangalia upande wa kulia utaona kama kuna terminal ambayo ina TABS mbili...ambayo moja wapo ina jina la SHELL🥳🥳...
Click hapo kweny ...shell...utaona sehem kama ya kali linux ambapo utatakiwa uandike commands ili ku run program....ila itakiwa na jina na QUEEN ELISA ...
..hapo utaandika hhii command hapa ....yarn....alf press enter..au Go kwa Android user's 🥳🥳🥳..
Hapo zitashuka codes kama vile we ni hacker😅😅...
Zkisha maliza zitaandika neno DONE...
....Hapo utaandika code hii hapa....yarn start....then utaona maajabu 🤗🤗🤗

 STEP YA KUMI NA MOJA 
...ukishachagua njia kati ya ya kwanz au ya pili zote zitaleta majibu sawa....
...Majibu hayo ni QR CODES...hapo utarudia kufungua ile ile WhatsApp yako then uta ingia kule kweny ku link device alafu utascan zile code haraka....
..Hapo utaona ..SAFARI(Queen elisa MD) na maneno haya keep your device open for sync..
Hapo mesej zote ambazo zinaingia WhatsApp utakuwa unaziona kwenye terminal ya replit kwenye PC 🖥 au kwa wale wanaotumia android 🫶🏻🫶🏻....

HAPO ITAKUWA TAYARI UMENCONNECT BOT NA WHATSAP YAKO..NA UTAPATA MESSEJ KUTOKA KWA QUEEN ELISA

STEP YA KUMI NA MBILI 
...hapo unabidi utulie kwanza ...
Fungu tab nyingine ya google au Bridge..alfu search...
UPTIMEROBOT ..
hii site itatumika kumuwek bot alive hta wakati simu yako imezima au haina MB...

Uta create account then ukimaliza kwa upande wa juu kabisa kushoto kuna sehem imeandikwa..CREATE MONITOR...
Uta click hapo

STEP YA KUMI NA MBILI
..rudi REPLIT kule..ukiandalia upande wa kulia juu kuna sehem una maneno yamendikwa jina la queen elisa md...alf yanaishiwa na .. .co ....utayacopy hayo..alafu nenda kule uptimerobot 

...hapo sehem ya kwanza kabisa uta click kwenye hiyo sehem yenye uwazo na kualama cha down ..itakueletea vitu vya kuchagua ...utaweka HTTPS...
..chini yake utaandika jina la monitor yako...the way utapenda wewe....

Alafu sehemu inayofuata uapaste kile ulichokicopy kule replit...

NOTE ..hakikisha haufuti ile HTTPS:// baada ya hapo uta click pale chin pameandikkwa CREATE MONITOR

Hapo utakuwa umemaliza kutengeneza BOT...
Kkwahyo rudi whatsapp alafu fungua ile messej y queen elisa then type menu 🤗🤗🤗

 menu

Join wasap channel.yetu, click follow pale juu kupata mafunzo zaidi na zaidi

 
https://whatsapp.com/channel/0029Va8dthLAInPrVRAJrP03

Post a Comment

أحدث أقدم

Categorised Posts